kumkazia staa wa muziki wa Singeli, Man Fongo, baada ya kuulizwa kama anaweza kufanya wimbo naye.Akiongea na kipindi cha Friday Night Live cha EATV, muimbaji huyo amesema kwa sasahaitawezekana, labda mwaka 2020.
“Nitakuwa tayari mwaka 2020 na si sasa, pamoja na kwamba utakuwa mwaka wa uchaguzi lakini ndiyo kitakuwa kipindi kizuri cha kufanya hivyo lakini kwa sasa hivi sipo tayari nina kazi nyingi nazifanya,” alisema TID.
Kwa sasa muziki wa Singeli umeonekana
kukubalika zaidi na unatabiriwa kutengeneza nyota wengi zaidi katika miaka inayokuja.
0 comments:
Post a Comment