Meneja
masoko huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania ,Noel Mazoya (kulia) akifafanua
jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)baada ya kumpata mshindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya Jiongeza
na M-Pawa,ampapo mkazi wa Kiloleli mkoani Mwanza Bi. Paulina Kulwa,aliipuka na
ushindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/- hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto
ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha nchini,Emannuel Ndaki na Meneja
wa Huduma za M-pawa wa benki ya CBA, Eric Luyangi.
Msimamizi
wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Emannuel Ndaki(kushoto)akihakiki namba
ya mshindi wa promosheni ya Jiongeze na M-Pawa wakati alipokuwa akionyeshwa na Meneja wa Huduma za M-pawa wa benki
ya CBA, Eric Luyangi(katikati)kabla ya kupigiwa simu na Meneja masoko huduma
za kifedha wa Vodacom Tanzania ,Noel Mazoya (kulia) ambapo mkazi wa Kiloleli
mkoani Mwanza Bi. Paulina Kulwa, aliipuka na ushindi wa kitita cha shilingi
Milioni 100/- hafla hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam leo. Promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania kwa
kushirikiana na benki hiyo.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakichukua matukio mbalimbali katika droo kubwa ya
mwisho ya Jiongeze na M-Pawa,ambapo Bi. Paulina Kulwa mkazi wa Kiloleli mkoani
Mwanza aliipuka na ushindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/- hafla
hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
leo.
0 comments:
Post a Comment