Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 06, 2016
Mshindi wa shindano laDUME Challenge 2012, Salum Njwete "Samjet"
(kushoto) akipokea hundi ya shilingi milioni 20 na cheti cha ushindi
toka Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania, Maurice Chirimi
(kulia) katika hafla fupi iliyofanyika ofisi za T-MARC jijini Dar es
Salaam Jumatatu.
0 comments:
Post a Comment