Floyd Mayweather ni kama ATM Mashine inayotembea. Wikiendi hii
mwanamasumbwi huyo mstaafu alimmwagia rafiki yake wa muda mrefu Lil Kim
zaidi ya dola 9,000(zaidi ya milioni 18 za kitanzania...yaani kazimwaga
tu) wakati akitumbuiza kwenye tamasha la Bad Boy Family Reunion huko Las
Vegas.
Jeuri hiyo ya fedha ya Mayweather haikuishia hapo alipost kipande cha video kwenye mtandao wake wa Instagram kinachoonesha madola akiwa ameyapanga mezani kitendo kilichoonekana kuwatoa udenda baadhi ya watu.

0 comments:
Post a Comment