Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 13, 2016
Baada ya kukamilika kwa video ambayo kwa sasa inaelekea kutimia watazamaji milioni moja Youtube ‘Natafuta Kiki‘ ya Rayvanny, msanii wa filamu, maigizo na muziki Tanzania Snura amefanya Interview na nakusema Yeye aliifanya ile
scene ya kumbusu Ray kwenye video hio kama kazi tu, kama ambavyo script ilimtaka afanye ndicho alichokifanya, na wala hakumtamani RaySnura kwa ujasiri akaongeza kwa kusema
“Kama script inataka nimkiss hata mwanangu ninaweza kufanya hivyo”.
0 comments:
Post a Comment