Namba hazidanganyi, Video mpya ya Diamond Platnumz ‘Salome’ inaweza ikawa ndio video iliyotazamwa mara nyingi zaidi ndani ya muda mfupi Afrika kwasasa.
Video hiyo imefikisha idadi ya viewers Million 3 ndani ya siku kumi tu tangu ilipowekwa Youtube. Pia hadi sasa inacomment zaidi ya 4,423 na Likes 25,500.
0 comments:
Post a Comment