Staa
wa Bongo Movies, Wema Sepetu (wa pili kushoto) akiwa na rafiki zake
nyumbani kwa mama yake maeneo ya Sinza-Mapambano usiku wa kuamkia leo
jijini Dar es Salaam.
…Wakiendelea kuongea jambo.
…Akila chakula cha bethidei.
…Akiwa kambeba mtoto wa rafiki yake.
Madikodiko yakitayarishwa.
Keki zilizoandaliwa kw a ajili ya Wema.
Saa aliyozawadiwa.
Akisoma kadi aliyopewa na rafiki yake.
Mwigizaji
wa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesherehekea siku yake ya kuzaliwa
nyumbani kwa nyumbani kwa mama yake, Miriam Sepetu, Sinza-Mapambano
jiini Dar usiku wa kuamkia leo .
Mastaa waliokuwepo katika hafla hiyo ni Martin Kadinda, Sholo Mwamba na shosti mkubwa wa Madam aitwaye Muna Love.
0 comments:
Post a Comment