Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
,akiwapungia baadhi ya Wananchi,akiwa ameambatana na katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia kwa Rais) wakielekea kwenye ofisi za kampuni ya kuchapisha Magazeti ya Uhuru Puplication Limited wanaochapisha magaezeti ya Uhuru,Mzalendo,Burudani na redio ya Uhuru FM,mapema leo jijini Dar.PICHA ZAIDI ZINAKUJA

0 comments:
Post a Comment