Picha hii
inamuonesha Diamond akiwa na Alikiba studio pamoja na mameneja wao, hata
hivyo haijulikani ilipigwa lini japo wengi wanadai ni kipindi ambacho
Diamond alikuwa anarekodi wimbo mpya na Neyo, Kenya.
Hata hivyo picha
hiyo imeleta mvutano wa maneno kwenye mitandao, wengine wakifurahia
kuwaona mafahari hao wawili kwenye zizi moja huku wengine wakiamini ni
picha ya kutengeneza tu,
danieltanzaniaMungu awajalie hawa watu wawili nifuraha kuwaona hivyo
abbymexahnk@leonardkabeiy
asa Bro unakaataa lini na Hii nahs ilikua Juz juz mwaka huu huu na Tale
alisema kua watu ndo wanawagombanisha na wana picha zao wapo studio
wanaongea kabisaaaa yani.
leonardkabeiyHaitokii hata kidogo hiyo Edit @bigbrotherafrica_tanzania_fans..
mtimanyongoTimu do*o wanomba poo ,hapa hakuna poo tunakaza mwanzo mwisho mpaka wajue alikiba ni king wa africa
nikky_omega5Hawawazi kuwatengeneza KIBA AMA diamond wawili, WANACHOWAZA NI KUMSHUSHA MMOJA ILI MMOJA ANGARE
tanzaniamodelfashionPicha ya kwanza HAPO JUU IME EDITIWA ALIE KAA CHINI ALIKUWA HARMONIZE IYO YA SALLAM SAWA NI YEYE
leonardkabeiySiamin hata kwa fimbo@bigbrotherafrica_tanzania_fans
i_doryI wish iwe kweli 

Hakuna yoyote kutoka pande zote mbili aliyezungumzia picha hiyo.
0 comments:
Post a Comment