Shangwe iliyopelekea Tanga na tamasha la FIESTA 2016 ambalo ni tamasha la burudani linalozunguka mikoa mbalimbali kila mwaka na usiku wa Jana September 24 2016 ilikuwa zamu ya Tanga ambapo waliipokea vizuri mkoani hapo na kuonesha kuwa waliimiss Fiesta ambayo 2015 haikuwepo.
kama ulimiss FIESTA 2016, Tanga nakusogezea picha hapa chini ujionee list kubwa ya wasanii walivyotoa burudani kwa stage mtu wangu.
Shetta
Snura
Manfongo
Mr. Blue
Navy Kenzo
Weusi
Christian Bella
Darrasa
Maua Sama
Nedy Music
U
0 comments:
Post a Comment