Professor Benno Ndulu has been the governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank, since 2008.
Career
He served first as its Research director and later as its Executive Director. He received an honorary doctorate from the International Institute of Social Studies (ISS) in the Hague in 1997 recognition of his contributions to Capacity Building and Research on Africa . Following his Ph.D. degree in economics from Northwestern University in Evanston, Illinois, he taught economics and published widely on growth, adjustment, governance and trade
"Hakuna mdororo wa uchumi, uchumi unaendelea kukua kama ilivyotarajiwa: Prof. Beno Ndulu- Gavana wa Benki Kuu.
Prof Ndulu: Tumedhibiti mapato bandarini, licha ya mizigo kupungua mapato yameongezeka, Tanzania ni kati ya nchi kumi za Afrika ambazo uchumi wake unakua vizuri
Prof Ndulu: Fedha za Serikali zimehamishiwa Benki Kuu lakini matumizi yote ya Serikali yanalipiwa kupitia benki za biashara
Prof Ndulu: Serikali imebana shughuli za watu wa "misheni town"
Prof Ndulu: "Fedha zimehama kutoka kwa wachache wenye mikono haramu kwenda kwenye matumizi halali na sahihi kwa umma"-Prof Ndulu
Prof Ndulu: "Serikali itajenga maghala kwa ajili ya kuhifadhi tani laki tatu na hamsini za nafaka" Pia Gavana akaongeza kuwa kwa sasa Hakuna mdororo wa uchumi, uchumi unaendelea kukua kama ilivyotarajiwa.
Prof Ndulu: Serikali itajenga maghala kwa ajili ya kuhifadhi tani laki tatu na hamsini za nafaka.
Prof Ndulu: Uagizaji wa malighafi za viwandani kutoka nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia19.4 na "Akiba ya fedha za kigeni bado ni nzuri na jana 13/9/2016 ilikuwa dola bilioni 4"
Prof Ndulu: "Kwa thamani na wingi, utalii umeongezeka, haujapungua, Zanzibar idadi ya ndege zinazoingia na watalii zimeongezeka"
Prof Ndulu: "Tumedhibiti mapato bandarini, licha ya mizigo kupungua mapato yameongezeka" "Uzalishaji wa umeme nchini umeongezeka kwa asilimia 14.5 kati ya Januari hadi Juni 2016"
Prof Ndulu: "Fedha zimehama kutoka kwa wachache wenye mikono haramu kwenda kwenye matumizi halali na sahihi kwa umma"
0 comments:
Post a Comment