
Ahaidi haki kutendeka na kurejesha mahusiano mazuri kati YA hifadhi na kijijiMkuu wa mkoa wa Mbeya leo amefanya mkutano wa hadhara kijiji cha Kikondo kusikiliza wananchi madai yao kuhusiana na mgogoro wa mipaka na kutolipwa fidia na Tanapa tangu


Ametoa muda wa MWEZI mmoja kikosi kazi kukamilisha kazi hiyo ili kupata suluhu YA kudumu na haki kwa wote walioathirika na GN iliyoanzisha hifadhi YA Kitulo









0 comments:
Post a Comment