Posted by Williammalecela.com on Friday, September 16, 2016
Ujazo
wa jina lake Jacqueline Ntuyabaliwe ulianza kuongezeka toka aliposhinda
Miss Tanzania mwaka 2000 na sasa anatumia Jacqueline N. Mengi baada ya
kuolewa na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi. Habari
nzuri aliyotuletea Jacqueline September 15, 2016 ni hii ya duka lake
jipya lililopo Seacliff Masaki Dar es salaam ambalo humo ndani zinauzwa
Furniture mbalimbali za kuvutia yani utakutana na vitanda, viti, makochi
na vingine kwenye uwanja huo. Amorette
ndio duka lenyewe na ni kampuni yake aliyoianzisha miaka michache
inayodili na kufanya Interior designing lakini sasa kaleta brand ya
Molocaho ambayo inadili na Furniture mbalimbali za ubunifu wake
Jacqueline mwenyewe.
0 comments:
Post a Comment