Meneja Masoko wa huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania,Noel Mazoya (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu promosheni ya jiongeze na M-Pawa wakati wa droo ya kumpata mshindi wa wiki ambapo bwana Jumaa Mbaruku (22), mkazi wa mkoa wa Pwani amejishindia Shilingi Milioni 20/-. Hadi sasa jumla ya washindi 1,600 wameshajishindia mara Mbili ya akiba zao kupitia droo za kila siku na washindi 8 wameshajinyakulia shilingi milioni 1/- kila mmoja. Kushoto ni Meneja wa Huduma za M-Pawa wa beki ya CBA Eric Luyangi na Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha ,Abdallah Hemedy. Jumla ya shilingi Milioni 300 Zitatatolewa kwenye promosheni hii ambapo droo kubwa itafanyika mwanzoni mwa mwezi oktoba na mshindi wa jumla atajinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 100.
Meneja wa huduma za M-Pawa wa benki ya CBA,Eric Luyangi(kushoto)akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na promosheni ya jiongeze na M-Pawa wakati wa kuchezesha droo ya wiki iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Hadi sasa jumla ya washindi 1,600 wameshajishindia mara Mbili ya akiba zao na washindi 8 wameshajinyakulia shilingi milioni 1/- kila mmoja. Katikati ni Meneja wa huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania ,Noel Mazoya na Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha ,Abdallah Hemedy.
Meneja Masoko wa huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania,Noel Mazoya (katikati) akiongea na mmoja wa washindi wa promosheni ya jiongeze na M-Pawa wakati wa droo ya kumpata mshindi wa wiki ambapo bwana Jumaa Mbaruku (22), mkazi wa mkoa wa Pwani amejishindia Shilingi Milioni 20/-. Hadi sasa jumla ya washindi 1,600 wameshajishindia mara Mbili ya akiba zao kupitia droo za kila siku na washindi 8 wameshajinyakulia shilingi Milioni 1/- kila mmoja. Kushoto ni Meneja wa Huduma za M-Pawa wa beki ya CBA Eric Luyangi na Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha ,Abdallah Hemedy. Jumla ya shilingi Milioni 300 Zitatatolewa kwenye promosheni hii ambapo droo kubwa itafanyika mwanzoni mwa mwezi oktoba na mshindi wa jumla atajinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 100.
0 comments:
Post a Comment