Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 29, 2016
 |
"Vijana
wa sasa bwana hapa sina budi nikubaliane na nauli ya Dr Mwakembe
bungeni na namnukuhu
"haya mambo yanatokea ktk nchi zetu tu Kama
Tanzania.ambapo mtu ambaye ajamaliza elimu ya msingi au secondary
anahoji ufahamu wa Dr wa farsafa mwenye degree sita" mwisho wa kunukuu.
Sasa mafanikio hayo yote niliyoyapata yanatokana na kujituma kwangu kwa
bidii kuzingatia nidhamu na kuwaeshimu watu wote..Na kama huna hivyo
vitu basi mafanikio watayasikia kwenye bomba..Kazaneni vijana kwanza
muweze fika japo robo ya hayo japo mchaguliwe kucheza timu combine ya
kata mnapoishi sembuse timu mchanganyiko ya mkoa au taifa kisha mtaweza
kuhoji juu ya ufanisi wa mafanikio yangu."
|
Imekuwaje tena kk mbona sielewi
ReplyDelete