Ukitaja
story ambazo zimekiki kinoma noma wiki iliyopita huwezi kuacha kuitaja
ile ya Mama Wema Sepetu na King wa Singeli Man Fongo.Mengi yalizungumzwa
na pia hata wahusika kusikika kulizungumzia hilo lakini mwisho wa siku
utu uzima dawa. Mama Wema ameamua kufunguka kuwa hana tatizo na Man
Foong.Ni pale Mama Wema alipofuatwa nyumbani kwake na Nafia Afrika na
kufanyiwa interview baada ya sakata hilo kupamba moto.
Ndipo Mama Wema
alifunguka “Ninachotaka kusema ni kwamba, mimi natamka wazi sina tatizo
na yule mtoto”Mama Wema alifunguka kwamba katika vitu ambavyo hawezi
kuvifanya, kimoja wapo ni kujiunga katika mtandao wa Instagram. Alidai
kwamba akijiunga katika mtandao huo atakwazika na mengi, bali yeye
mtandao ambao anaufurahia kuutumia ni Whatsapp.
Mapovu www.bongonewstz.com
ReplyDelete