Posted by Williammalecela.com on Friday, September 30, 2016
Ni usiku wa September 28, 2016 ambapo staa wa filamu, Wema Sepetu alikuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwao sasa miongoni yaliyojiri ni haya aliyoyazungumza Mama yake mzazi alipokutana na Team Wema.
0 comments:
Post a Comment