Siku izi kumeibuka mtindo wa kuvaa mavazi yanayoonyesha Nusu ya Mwili wa mwanamke... si hivyo tu wanawake na wasichana wengi wamekuwa wakitupia picha zao mtandaoni wakia na mavazi hayo kitendo ambacho ni kibaya zaidi.
Sasa kama mwanaume mwenye akili kabisa unaweza ukamruhuzu mke wako au mchuba wako kuvaa mavazi haya na akapita mbele ya kundi la watu?? au ndo Fashion ya siku hizi!!
Sasa kama mwanaume mwenye akili kabisa unaweza ukamruhuzu mke wako au mchuba wako kuvaa mavazi haya na akapita mbele ya kundi la watu?? au ndo Fashion ya siku hizi!!
Lakini duniani huwezi zuia mtu kitu, hata kama wewe ni dume la mbegu - hii ni kwa sababu mbili
ReplyDeleteMosi, wanawake wamepewa uhuru wa kujiamulia mambo yao wenyewe
Pili, wanawake sasa ni sawa (equal opportunity) na waume zao, huwezi sema tena chochote enzi hizi za 21st century mzeeeee