Kim Kardashian amepata dhahama ambayo aliipata model Gig Hadid juma
lililopita ambapo jamaa huyo alitaka kumshika modo huyo makalio, Lakini
kwa wakati huu, Vitalii Sediuk, alitaka kuyabusu makalio ya Kim
Kardashian nasio kuyashika.

Wakati Kim Kardashian akiwa Paris, Walinzi wake wakiwa wamepitiwa tu waliacha upenyo wa jamaa kujichanganya kati ili aweze kukamata makalio ya mke wa rappa, Kanye West, na ayabusu lakini hakufanikiwa kwakuwahi kukamatwa na walinzi.
Kim Kardashiana anasema amevutiwa sana na jinsi walinzi wake walivyo simama kumuwahi jamaa huyo

0 comments:
Post a Comment