,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, August 7, 2016

 Mfanyabiashara na mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji katika mkutano mkuu na wanachama wa Yanga aliomba wanachama wamkodishie timu ya Yanga na nembo ya klabu kwa kipindi cha miaka 10
kwa kigezo kuwa timu imekuwa ikijiendesha kwa hasara na kuwa mwaka unaokuja itashindwa kuepuka hasara ya bilioni 1.9, hivyo anaomba akodishiwe timu na mali za klabu ziendelee kuwa chini ya klabu kama kawaida.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi