,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, August 7, 2016

Vitu ambavyo watu wanavifanya chumani ni siri yako na mwezi wako lakini mara nyingi unapokua maarufu basi vitu hivi sio siri tena.

Hivi sasa kim ameshaolewa na bwana Kanye lakini mikasa aliyoipata katika maisha yake ya mapenzi ndio imetufanyavibe Tanzania kuangalia kwa jicho la pili mahusiano aliyopitia bibie Kim Kardashian. 

Akiwa tayari ana miaka 31 , Kim amepitiwa na wanaume wengi huku wengine wakiwa ni mpango wa kando wakati tayari ana mtu mwingine. 

Hii ni list ya wanaume (wanaojulikana na maarufu)ambao wameshawai kumpitia kim tokea mwaka 1994 :- 
TJ Jackson (1994-1998). 
Katika interview yake na Oprah, Kim alisema alianza kutumia njia za uzazi akiwa na miaka 14 ambapo alikua ataki kushika mimba akiwa na mdogo. 

TJ Jackson kama ulikua hujui, huyu ni mpwa “nephew” wa Michael Jacksonambapo inasemekana ndio alikua sio tu wa kwanza kutoka naye bali wa kwanza pia kufanya naye mapenzi. 
Damon Thomas (2000-2004). 
Unafikiri kim hakuwahi kuolewa kabla? basi kama ndio , habari ni kwamba kim akiwa na umri wa miaka 20 aliolewa na producer , Damon Thomas , ndoa iliyodumu kwa miaka minne tokea mwaka 2000 hadi mwaka 2004.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi