Wema Sepetu na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa aliyeiwakilisha Namibia Luis Munana,
walishawahi kuwa wapenzi suala ambalo halikuwa siri, kwani account zao
za mitandao ya kijamii hususani Instagram, zilijieleza lakini baadae
waliachana na kila mmoja alifuta picha zote walizowahi kupiga pamoja.
Baadae Wema akaweka wazi mapenzi yake kwa mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan ambaye alikuwa rafiki wa ex boyfriend wake. Baada ya Wema na Luis kila
mmoja kufuta picha za mwenzake instagram, hawakuwahi kupostiana tena,
hadi Alhamisi ya June 23 2016 kila mmoja alipoamua kumpost mwenzake na
maneno ambayo hayakueleweka walikuwa wanamaanisha nini.
0 comments:
Post a Comment