,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, June 15, 2016



Stori: Gladness Mallya
TOFAUTI na miaka mingine, staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford amesema licha ya kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan umeanza na alipaswa kupumzika kufanya kazi, hawezi kipindi hiki hali ni ngumu sana ndiyo maana nafanya,” alisema Shamsa.
Hata hivyo, aliwataka mastaa wenzake hususan Waislamu kufanya yanayompendeza Mungu katika kipindi hiki. kufanya hivyo kwa vile maisha sasa ni magumu.
“Naendelea na kazi kama kawaida maana nisipocheza filamu na hii ndiyo kazi yangu nitakula nini, namshukuru Mungu ananisaidia navishinda vishawishi vya ‘location’ nafunga vizuri, miaka mingine huwa sifanyi kazi mwezi huu lakini kipindi hiki hali ni ngumu sana ndiyo maana nafanya,” alisema Shamsa. Hata hivyo, aliwataka mastaa wenzake hususan Waislamu kufanya yanayompendeza Mungu katika kipindi hiki.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi