Staa
wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewakata ‘vilimi’ wale
waliokuwa wanamsema vibaya kuhusu mchumba wake kuwa na watoto wakubwa
aliozaa na wanawake wengine.
“Sina
kinyongo, nawapenda wanawe kama ninavyompenda yeye. Sioni tatizo
kutembea nao popote maana Mungu akijalia nami nitapata wangu, ” alisema
Lulu.
0 comments:
Post a Comment