,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, June 17, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo amewatembelea wananchi wa kitongoji cha Kibundungulu kijiji cha Mbaka wilayani Rungwe ambao tangu mwezi januari mwaka huu wamekuwa wakipata tabu kupata huduma za jamii ikiwemo afya elimu na masoko kutokana na kukosa kivuko baada kivuko cha awali kusombwa na mafuriko
Kutokana na kadhia hiyo kitengo cha maafa ofisi ya Waziri Mkuu ,tamisemi na ofisi ya Mkuu wa mkoa kwa pamoja umewezesha mkandarasi kuanza kazi na kwa mujibu wa mkandarasi kazi hiyo itakamilika ndani ya wiki 2 na Mkuu wa Mkoa atakizindua kivuko hicho tarehe 8 julai mwaka huu
Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi katika kipindi hiki kuacha kuvuka kwa kutumia waya zilizofungwa kwasasa na anaamini kujengwa kwa kivuko hiki kinawasaidia wananchi kuvuka hata kipindi cha mvua nyingi
Hatua za kujenga kivuko hiki ni za dharura na muda mfupi na serikali itaweka katika mipango ili kujenga daraja la kudumu   

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi