Posted by Williammalecela.com on Saturday, June 18, 2016
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
MKURUGENZI
wa Kituo cha Kusaidia Waathilika wa Dawa Za Kulevya, Sober House,
kilichopo
Bagamoyo, Pwani, Karim Banji amekanusha taarifa zinazosambaa
kuwa mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’
amepelekwa katika kituo hicho.
0 comments:
Post a Comment