Jeshi
la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limetuma timu ya maofisa wake
kwenda mikoa ya Arusha na Mwanza kufanya upelelezi wa mauaji ya dada wa
bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya.
Hadi sasa jeshi hilo limewakamata watu wanne kwa tuhuma za mauaji hayo, akiwamo mumewe Aneth, mfanyakazi wao wa ndani na hawara wa mfanyakazi huyo.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Hadi sasa jeshi hilo limewakamata watu wanne kwa tuhuma za mauaji hayo, akiwamo mumewe Aneth, mfanyakazi wao wa ndani na hawara wa mfanyakazi huyo.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment