,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 25, 2016

Dr. Mwele Malecela Mkurugenzi Mkuu wa NMR ambaye pia ni dada yake Le Mutuz Nation akizungumza na wananchi waliojitokeza kwa wingi leo kwa ajili ya Sala ya Shukrani kwa ajili ya Marehemu Mama yake Le Mutuz Nation aliyefariki na kuzikwa mjini Tunduma Mbeya Jumatatu iliyopita.


Le Mutuz Nation akiwa na Dada yake Dr. Mwele Malecela kwenye misa Azania Front Church leo live!!


Dada wa Le Mutuz Nation Nacky na Ikumbo kwenye misa ya leo live!!










0 comments:

Post a Comment

ufunguzi