Baada ya picha na stori kibao kusamba rapa Young Killer anasema yeye sio msanii wa Wasafi.
Killer alisema “Mimi sio msanii wa wasafi, kilicholeta stori zote hizi ni picha tu, ila ile ni lebo kubwa na endapo nitapata nafasi nitafanya nao kazi, ata wewe sammisago ukipiga picha na Chege haina maana upo TMK, so Diamond ni msanii mkubwa na hakuna atakaye kataa kusaini na yeye, so kama itatokea nafasi mimi nitasaini sababu jamaa ana support kubwa, ila mimi nilipiga picha tu na tuka post”
Young Killer anategemewa kuwa mchanaji wa kwanza kusajiliwa na WCB Wasafi.
0 comments:
Post a Comment