Posted by Williammalecela.com on Saturday, June 18, 2016
Mr and Mrs Joseph Haule kwa Pamoja kwa kukaa chini nakuamua kumchagua Cookie@cookie_la_princessa_iyobo kuwa Balozi (Ambassodor)wa Shule yao@busybeetza Iliyopo Kinondoni Dar_es_salaam kwani najua ni vitu Vingi Mlivyoangalia hadi kufikia Maamuzi hayo hvyo bac Tukiwa kama wazazi ni jukumu leo Sote kuhakikisha Ndoto zote za Mtoto Unazoziona kupitia Yy Zinatimia....Note @busybeetza Iliyopo Tanzania Sio tuu shule bali ni Sehemu ambayo Unaweza Mpeleka mtoto wako na Akashinda kuanzia Asubuhi hadi Muda unaohitaji kumfata akiwa kwenye Mazingira ya Uhakika bila kuwa na Mashaka....au kwa jina lingine Day Care na hapo ndio sehemu pekee atakayokuwa anashinda mwanangu na kujifunza vitu tofauti... @busybeetza@busybeetza Ndio habari ya Uhakika kwa Mtoto wako
0 comments:
Post a Comment