Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 30, 2016
😷
FURAHA YA DC YAGEUKA MAJONZI IKULU
Emile Yotham Ntakamulenga akitoka katika Ukumbi wa Ikulu, Dar es Salaam
jana baada ya kubainika kuwa aliteuliwa kimakosa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Serengeti Mkoani Mara.
0 comments:
Post a Comment