,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 16, 2016


Nuh Mziwanda ni staa kutoka bongoflevani ambaye anafanya vizuri kwa sasa na hitsingo yake ya Jike Shupa wimbo ambao amemshirikisha Alikiba, June 12 2016 Nuh Mziwanda alitumia mtandao wake wa instagram kuandika maneno yafuatayo kwa aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni Shilole.


 ilimtafuta Nuh Mziwanda na haya ndio yalikuwa majibu yake kwanini aliamua kuandika maneno kama yale kwenye mtandao wake wa instagram
‘Mimi kilichonisikitisha ni kuwa Shilole anapigia baadhi ya DJ’s, kuwa wasicheze wimbo wangu pia anapigia wasanii na anawaambia kuwa wasipost video yangu kwenye mitandao yao ya kijamii anadai kuwa ninamdhalilisha‘>>>Nuh Mziwanda

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi