,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 18, 2016

Hali sio nzuri kabisa katika maeneo ya k,koo hasa mtaa wa Kongo na Agrey Wamachinga wachoma matairi na kusababisha hali ya taaruki katika maeneo hayo..

Hali hii imetokea baada ya Polisi wa jiji kuwazuia wamachinga kufanya biashara katika maeneo hayo na kupelekea Baadhi ya wamachinga kukamatwa na wengine kunyang'anywa malizao ndipo wakaamua kuchoma matairi na kufanya vurungu hizo..

Tutakujuza zaidi.....
Video ya kwanza...

Video ya pili...

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi