,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, June 24, 2016


HUko Instagram Mange ameendelea kuburuzwa na Kichwapanzi ambaye leo Asubuhi amepost copy ya TALAKA ya Mange kwa Mara ya kwanza kitu ambacho Mange Kimambi amekuwa akikataa kwa muda MREFU kuwa sio kweli. Mange ambaye kwa muda MREFU amekuwa akimshambulia sana
Kaka wa Mama wake wa kufikia Le Mutuz Nation inasemekana kwamba ni mashambulizi ya Marehemu Mama yake Le MutuZ ndio umemfanyia Mumee wake wa zamani kukasirishwa sana na kuamua kuonyesha hadharani copy ya Divorce yake kwa Mange. BLOGU ya Wananchi itaendelea kufuatilia kwa makini na KUWAJUUZA kinachoendelea na Mange ambaye ni mshirika mkubwa sana wa ex wa Le Mutuz Nation.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi