,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, June 15, 2016

 
Future, Usher, na Bryson Tiller wametangazwa kuongezwa kwenye orodha ya wasanii watakaotumbuiza siku hiyo.
Wanaungana na mastaa wengine waliokuwa wametangazwa awali ambao ni pamoja na Alicia Keys, Maxwell, pamoja na tribute ya Prince itakayotolewa na D’Angelo, The Roots na Janelle Monáe. bet 2016
Mastaa watakaokabidhi tuzo ni pamoja na DJ Khaled, Gabrielle Union, Tinashe, Fantasia, Regina Hall, Birdman, Jermaine Dupri, Dame Dash na Snoop Dogg.

Diamond ni miongoni mwa wasanii wanaowania tuzo hizo mwaka huu kwenye kipengele cha Best International Act: Africa.
Washereheshaji wa show hiyo watakuwa ni Anthony Anderson na Tracee Ellis Ross. Tuzo hizo zitatolewa June 26 live kutoka Microsoft Theater, Los Angeles, Marekani.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi