![]() |
Nmejifunza kitu kikubwa saana Kwa Huyu mtumish Emmanuel Mgaya au (Masanja Mkandamizaji)
HUYU MTU NI--- (1) MTOAJI SANA:- Ktk hilo la utoaji, natumia nafasi hii hii kukushukuru mimi Deo Shujaa nikiwa na my ..... mtarajiwa Priscaoscar Priscashujaa. Tunamshukuru saaana kwa Kifaa alichoninunulia chenye Gharama zaidi ya LAKI TANO YA TZ. kinachojulikana kama GRAPHICS PAD (TABLET) au DRAWING PAD Kwa ajili ya kazi zangu. Kwa sababu tu anapenda Kipaji changu na anatamani nifike mbali. Nikiwa sina hata Chembe ndogo ya Undugu na yeye zaidi ya Urafiki tu wa kawaida saaana tulionao mimi na yeye. (2) SIO MTU WA KUTAPELI AU KUKWEPA MALIPO Kama umemfanyia kazi yeyote. hata iwe ndogo kiasi gani atakulipa sawa sawa na makubaliano yenu. Jamaa Hakuwah kunirusha, au kutonilipa kazi yeyote ambayo ameniagiza nimfanyie yeye kama yeye. Kuna ma- super star wengine ukiwafanyia kazi swala la malipo sahau. AHSANTE SANA MKUBWA.. MUNGU AKUBARIKI ZAIDI NA ZAIDI. |
Tuesday, December 29, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment