,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, December 29, 2015



"Sasa hivi hatutoi kick bure tena kama ambavyo tulimpa kick yule mzee wa kuchekecha na kucheketua akapata followers wengi na kuongelewa sana kwenye media kwa mgongo wa 


@diamondplatnumz ‪#‎SIMBA‬🔥 Original. Kwa kusoma hiyo post hapo juu nisiwafiche followers wangu imenifanya nicheke mpaka najikojolea kwenye nguo zangu, khaaaa 💩💩💩 hivi huyu ni @mrbluebyser1988 mwenyewe ninae mfahamu mimi kweli ndie kaandika hivi au account iko hacked??? Kama atakuwa ni yeye kweli basi si bure kuna mkono wa mtu.
 

Nilicho gundua mimi siku @diamonplatnumz akiamua kujiita MA..I au CHOO wapo watu kama hawa watajitokeza kudai wao ndio waanzilishi wa jina hilo ilimradi tu wazungumziwe wapate kick, siku za nyuma kuna mmoja alikuwa anajiita mnyama kabla ya nick name yake ya sasa aliyo copy kwa mzee wa UKAWA Kingunge sasa alipo sikia sisi tuna mwita jina hilo la MNYAMA rais wetu wa wasafi @diamondplatnumz akaanza figisu figisu hivi jina la simba au mnyama unawezaje kusema ni lako kwa hati miliki ipi kwa mfano...!!! 

Mimi kitaani kwetu kuna wana kibao wanajiita wanyama halafu kuna school mate wangu tokea darasa la kwanza jina lake ni SIMBA EZEKIEL sasa kama kucoppy nani kacoppy shemzi type nina hasira wamenifanya nimekojolea nguo zangu sikuwa tayali kwa kucheka wamelazimisha nicheke bila kutarajia na nilikuwa safarini KARIAKOO to SINZA hapa inabidi ninune nguo za kubadilisha. Halafu mwenzenu mimi nikichukia huwa naanza kucheka kabla ya kulia. ‪#‎HapaKaziTu‬ ‪#‎TeamSIMBA‬. Cc @sallam_sk @babutale @mkubwafella."

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi