,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 11, 2015

Novemba 9, 2015 kulikuwa na headlines kwenye mitandao mbalimbali baada ya video kusambazwa na wasiojulikana ikimuonyesha Askari wa usalama wa barabarani Anthony Temu kutoka kituo cha polisi Kabuku Tanga akichukua rushwa kutoka kwenye gari alilolisimamisha.

Baada ya hii taarifa kusambazwa mitandaoni kamanda wa polisi mkoani Tanga, Zuberi Mwombeji amethibitisha hii ishu nzima kutokea na kwamba Temu alihojiwa na kukiri kwamba ni kweli alifanya hivyo, baada ya hapo Kamanda Mwombeji amesema wamemkabidhi kwa TAKUKURU.
Tanga 2
Moja ya picha kutoka kwenye hiyo video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Tumechunguza taarifa zile na tumemtafuta tumemshughulikia na kumkabidhi kwa maafisa wa TAKUKURU wanaendelea na uchunguzi sababu wao ndio wanashughulika na maswala haya ya rushwa‘ – Kamanda Mwombeji.

1 comment:

  1. kwa vile sheria za nchi yetu ziko wazi,takukuru wawachukue wote,mtoaji na mpokeaji na huku shahidi wa kwanza akiwa ni yule alie record! maana pamoja na yote hayo niwazi pia kuwa dereva wa gari alitenda kosa ya usalama baabarani,.kurecord na kupost mwenendo wote wa tukio hauwafanyi kuwa hawana hatia.

    ReplyDelete

ufunguzi