,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 10, 2015


Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kushare na followers wake wa Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha, kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania na kuwaacha wa hapa.
Hiki ndicho alichoandika Wolper;


“Jamani wapenzi wangu naombeni niwaulize ktu kimoja …kuna madada zetu wengi hapa Tanzania na wakaka wengi wazuri nawakivaa au kuvalishwa wanapendeza ila Tatizo uwezo tuu…lengo la haya maneno ni kuuliza na muwatag pia hawa wanaofanya hvii…okay naanza hvii..ni kwanini kaka/dada zetu wanamuziki siku hzi wanaenda kuchukua ma queen/king video njee ya Tanzania ni kwamba syo wakali kma wa nchi nyingne? Au wameshuka soko au ndo ile unakuta ma queen wetu wa vdio kutembea nakila msanii anaemshirikisha katika vdio nakufikia kushuka Thamani??

Au Tatizo ni nini haswa Maaana sahvi kila nyimbo nitayoona au kuombwa kupost nakutana na sura za ulaya ulaya paka nashindwa kupost kutokana na najisikia vibaya ajira kupelekwa njee..au la me ndo mshamba labda wa Tz wanapenda kuona ngozi zanjee za hapa zimechuja?? Haya taratibu Tuchangie mada hapa bila kupiga kelele maana aliye madarakani kwa sasa nikishtaq tuu unafwata paka nyumbani haya twendee kazi..na msisahau kutag wale wanaoenda kuchukua ma model njee.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi