"Afande Taarifa timamu, askari huyu ni namba F. 785 CPL Anthony Temu wa Kituo cha Polisi Kabuku ameajiriwa na Jeshi 01.07.1998. Ameshakamatwa yupo mahabusu pale Kabuku, section imeondoka kwenda kumchukua kumleta Tanga mjini, tunamsubiri kwa hatua. Toka RPC TANGA."
Meseji ya RPC Tanga baada ya kuona video ya Trafiki aliyeomba rushwa.
0 comments:
Post a Comment