Sijui CCM itaponea wapi, yaani Nguvu ya CHADEMA, UKAWA + Lowassa ni hatari tupu kwa CCM, CCM inaenda kunyongwa wiki ijayo...
Hizi
ni habari za uhakika, tukae kimya hadi mtakapoona Wana CCM mamilioni
wafuasi wa Lowassa kwa makundi wakienda Chadema, na kisha wananchi wasio
wana CCM mamilioni wakijiunga CHADEMA, na watapokelewa katika sehemu
mbali mbali, na kurushwa rasmi na vituo kadhaa vya TV, yaani sijui..
0 comments:
Post a Comment