PICHA za mazishi ya Mama Anna Mwakimi mjane wa Marehemu Mzee Mwakimi aliyekuwa muwakilishi wetu katika Ubalozi wa Tanzania nchini Japan, Leo yalisababisha Kijiji cha Sitakishari Ukonga kusimama kwa huzuni kwa siku nzima ya Leo huku wananchi wengi wa Nje na ndani ya kata hiyo wakimiminika kushiriki MA zishi hayo yaliyofanyika Mara baada ya mtoto wa Marehemu Tully Mwakimi Mwakasege alipowasili kutoka Marekani anakoishi Leo jioni.






0 comments:
Post a Comment