,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 27, 2015

 
Mwaka Huu Tanzania Itafanya Uchaguzi wake Mkuu Mwezi October kwajili ya Kuunda serikali ya Awamu ya Tano.Hivyo Kutakuwa na Uchaguzi wa Rais Wabunge na Madiwani.Kinachoendelea sasa Ni Mchakato wa chaguzi Ndani ya Vyama vya Siasa kuelekea Uchaguzi Huo.
Siku chache zilizopita Chama cha Mapinduzi Kilifanya Uteuzi wa Mgombea Urais Ambapo Mh Magufuli Atapeperusha Bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Huo.Katika Uteuzi huo makanda zaidi ya 40 Walijitokeza Kuomba Kuteuliwa .  

BOFYA HAPA KUONA TEAM LOWASSA WALIOKATWA

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi