Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 25, 2015
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro Mhe. Elias Ngorisa, katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya ya Ngorongoro ma madiwani wajiunga CHADEMA mchana huu na kupokelewa na Mbunge wa arumeru mashariki Mhe. Joshua Nassari mkoani arusha leo.
0 comments:
Post a Comment