DR.
ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha
Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh,
North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa
Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Tutatoa
taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie
Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali
wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au
Kaka wa Marehemu DR. ALI A. MZIGE 0713 410 531, 0754 495 998.
Inna Lillahi, wa inna ilaihi ra'ajiun.

0 comments:
Post a Comment