Nimekuletea picha hizi zikithibitisha Jide Kuvishwa pete..japo mpaka
sasa hajajulikana aliemvalisha pete ni nani....Moja ya Couple za mastaa
zilizokuwa maarufu ni ile ya Gadner na Msanii
maarufu wa tanzania ajulikanae kama Lady Jaydee, Lakini mapenzi hayo yaliisha baada ya kutokea mambo ambayo mpaka sasa hakuna anaejua ukweli zaidi ya hao wawili.
PICHA ZAIDI JAY DEE KUVALISHWA PETE BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment