Ni
habari ambayo imeandikwa na gazeti la Mwananchi June 23 2015 ikitokea
Mahakamani Manzese Dar es salaam kuhusu kesi iliyokua imefunguliwa na
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi kuhusu mke wake wa zamani.
Taarifa inasema Mahakama ya Manzese
imeamuru Mbunge Joseph Mbilinyi akabidhiwe mtoto wao kutokana na kesi
aliyoifungua dhidi ya mke wake huyu akidai anamuharibu mtoto.
Hii habari imekuja siku
kadhaa tu baada ya TUZO ZA KILI 2015 ambapo mke huyu wa zamani aliingia
kwenye headlines kutokana na vazi alilokuwa amevaa.
Popular Posts
-
Ni habari ambayo imeandikwa na gazeti la Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaam kuhusu kesi ...
-
Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba. VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA...
-
SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16. Mbal...
-
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe , amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais, huku a...
-
Ndoa yangu sasa ina miaka 8, tuna watoto 3 na tumejenga nyumba mbili, wiki mbili zilizopita mke wangu alibakwa na watu wawili waliokua ...
-
Jamani naomba ushauri kuhusu hili. Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto wanne. Hivi karibuni tumepata housegirl mpya kutoka Singida,...
-
Binti anayesadikiwa kurubuniwa na anko yake ambaye jina limehifadhiwa. MCHAPO KAMILI Tap! Jamaa mmoja, mkazi wa Gongo la Mboto-Mzamb...
-
Mama kijacho wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. MAMA kijacho wa Mbongo-Fleva, Nas...
-
Mwananmke mwingine ambaye ni kada wa CCM , Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi uta...
-
Aliyekuwa mkewe na mbunge wa mbeya mjini Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally akiwa katika pozi. KINDUMBWENDUMBWE! Mbunge wa Mbe...
Post a Comment