Kutoka
kwenye mtima! Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia
ishu ya kumbebea mimba mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ili
kuwafunga midomo wanawake wa mjini ambao wanamzengea jamaa huyo.
Akizungumza
na Ijumaa Wikienda, Shilole alitiriria kuwa, kwa muda mrefu amekuwa
akibanwa na kazi zake za muziki ambazo anafanya na mpenzi wake huyo
kiasi kwamba hawakufikiria kuhusu kupata mtoto mapema.
“Kwa sasa nimepanga kumbebea mimba na kumzalia Nuh,” alisema Shilole au Shishi Baby.
GPL

0 comments:
Post a Comment