,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, May 24, 2015


Hongera mama, for the second time in a row. Ulipendeza mashallah zamaradimketema naona umeamua kutuuwa in a Hollywood style mwaka huu. Stunning mmanyema wangu. Hard work pays mamie. At least sasa hivi wameanza kuthamini kazi
za watu, na kuwatunza na tunzo ili kuwapa moyo na changamoto. Safi sana. Many congratulations to you zamaradimketema unekuwa mstari wa mbele ku support na kusaidia tasmia ya film kwa upande wa media. Keep up the good work mama Jujuh zamaradimketema 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi