Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 26, 2015
Mwanaharakati wa haki za wanawake Khadija Liganga na mfanyabiashara maarufu mwenye brand Dida vitenge wear afunguka.Wanawake wengi huingiliwa kinyume na ridhaa zao,hujifungua watoto wengi kufurahisha waume zao ni unyanyasaji wa kijinsia.Wanawake wenye nyazifa kubwa serikalini na taasisi hunyanyaswa kijinsia na wanaume pia.
0 comments:
Post a Comment